"TUPOGO" YA OMMY DIMPOZ YAENDELEA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWENYE CHAT YA MUZIKI TANZANIA KWA WEEK YA 3 MFULULIZO !




                   CHINI NI VYANZO VINAVYOTUMIKA KUPATA MATOKEO YA CHART HII
                                                                                         
                                   
Marimba Music Chart Tanzania huandaliwa na Bongo 5 kila week ambapo huchukua vyanzo mbali mbali na kuweza kupata ni Muziki gani unashika nafasi ya kwanza na kuendelea kama ilivyo kwenye Billboard Music Chart.
   Wimbo mpya wa Ommy Dimpoz wa TUPOGO aliouimba na mwanamuziki kutoka Nigeria JMartin umendelea kukaa kileleni kwenye chart hiyo kwa week ya tatu mfululizo huku Wimbo wa Diamond MY NUMBER ONE ukiendelea kushika nafasi ya Pili kwa weeke ya tau nfululizo.Inaonekana bado hakuna wimbo unaopendwa sana Tanzania kwa sasa wakuweza kuipiku TUPOGO YA OMMY DIMPOZ "PKP"