MAELFU WAMZIKA KANUMBA...GARI LILILOBEBA MWILI WAKE LASUKUMWA NA WATU KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS HADI KINONDONI MAKABURINI...WATU WAZIMIA
MAMA KANUMBA AKISALIMIA MAELFU YA WATU WALIOFIKA KUMUAGA MWANAE

MAMA AKIMUAGA MWANAE KWA MARA YA MWISO..OUR HEARTS & THOUGHTS ARE WITH THE FAMILY.




GARI LA MAREHEMU LIKISUKUMWA HADI KINONDONI MAKABURINI


HILI NDIO KABURI LA MAREHEMU KAMA LINAVYO ONEKANA

MWILI WA MAREHEMU UKIWEKWA KABURINI SASA
KABURI LIKIWEKEWA SAKAFU SASA LIKIFUNIKWA
LIKIWA LINA MALIZIKA KUSAKAFIWA
MILLEN MAGESSE --MODEL AKIWEKA SHADA LA MAUA
MAMA WA MAREHEMU NAYE AKIMALIZIA SHADA LA MAUA
Picha na Global publisher na Mwandishi Wetu Mussa Mkama
NYUMBANI KWA MAREHEMU "KANUMBA" KUKIWA KUMEJAA MACELEBRITY WA BONGO WAKITOA POLE KWA WAFIWA

SUPER STAR WA BONGO DIAMOND AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

MWIMBAJI BOB JUNIOR..AKISAINI KITABU CHA RAMBIRAMBI

MSANII....MHESHIMIWA SUGU AKI SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

RAPPER MWANA FA NA AY WAKIINGIA MSIBANI KUTOA POLE

MSANII DIAMOND.....AKIFUTA MACHOZI

MCHEZA CINEMA IRENE UWOYA...AKILIA KWENYE MSIBA

MSANII JACK...WA CHUZI..AKILIA KWA UCHUNGU

IRENE UWOYA AKISAINI KITABU
Subscribe to:
Posts (Atom)