KINA DADA WA "TANO LADIES" WATEMBELEA MGAHAWA WA "KILIMANJARO PASSION" ULIOPO WASHINGTON DMV !!


 

TANO LADIES KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MMIRIKI WA MGAHAWA WA KILIMANJARO NDUGU "DMK"
TANO LADIES WAKIWA NDANI YA MGAHAWA HUO  WA KITANZANIA
WAKINA DADA WAKIJADILI LOGISTICS  ZA EVENT YAO ITAKAYOFANYIKA JUNE 1ST HAPA HAPA WASHINGTON DMV                              
   MODEL LATIFA KUTOKA NEWYORK CITY AKIWA WASHINGTON KIMAPUMZIKO     ZAIDI NAYE ALITEMBELEA MGAHAWA HUO WA KISASA WA   KILIMANJARO
NDUGU DAVID MSHANA NA FAMILIA YAKE NAO PIA WALIPATA LUNCH WEEKEND HII
KUTOKA TANZANIA WAKIWA NDANI YA WASHINGTON KIMATEMBEZI NDANI YA KILIMANJARO
NDUGU EDGAR NA FAMILIA YAKE
WAKIISOMA MENU KWA UFANISI ZAIDI
NDUGU SAMUEL AKIMFAFANULIA MTEJA MENU
TANO LADIES NJE YA MGAHAWA TAYARI KUELEKEA MAJUMBANI KWAO
DANIEL MTOTO WA WAZIRI WASIRA(KUSHOTO) KATIKA PICHA NA MMILIKI WA MGAHAWA WA KILIMANJARO NDUGU DICKSON a.k.a "DMK"

MGAHAWA HUU UNAJULIKANA SANA KWA WATU WA MATAIFA ZAIDI YA TANZANIA KWA  SLOGAN YAKE YA "KILIMANJARO FOOD "
2310 PRICE AVENUE.WHEATON.MD
301-661-6207

PICHA KWA HISANI YA WWW.ISKAJOJOPHOTOGRAPHY.COM

JE NI KWELI OMMY DIMPOZ ANAMDATE MWANAMUZIKI MREMBO KUTOKA KENYA "AVRIL"?


Mwanamuziki mrembo wa nchini Kenya, Avril Nyambura anatarajiwa kuizindua single yake mpya aliyomshirikisha hitmaker wa ‘Me and You’ Ommy Dimpoz, siku ya mkesha wa kuamkia Mei Mosi. Uzinduzi huo utafanyika Club Elements jijini Dar es Salaam ambapo kutakuwepo na performance Kutoka kwa ma star wengine wengi wa africa mashariki...Ingawa Ommy hatakuwepo kwani yuko ziarani Ulaya...ametweet akisema baby ntunzie tunda langu....Je Avril na Ommy ni " I TEM ?

CALI CALI.....HAYA SASA WAPENDA KUJIRUSHA..SUMMER OF LOVE IS COMING IN CALIFORNIA !!!

T.I Spotted In Los Angeles LAX Airport Rocking His Rainbow Colors With Wife Tiny.

                         
T.I Spotted In Los Angeles LAX Airport Rocking His Rainbow Colors with Wife Tiny. The Family That Hustles?? lol -- ...REALLY T.I ????KAZI KWELI KWELI

P.DIDDY TO LAUNCH HIS OWN CABLE TELEVISION THIS JULY...WOW THIS MAN CAN'T BE STOPPED !


P Diddy Launch His Cable network Called 'REVOLT TV' The Revolution Is Here, Every Generation Needs a New Revolution! -- There’s no doubt Diddy embodies his phrase “Can’t stop, won’t stop.” The hip-hop mogul has something in common with Oprah with the upcoming launch of his cable network,

Revolt. The new TV network will be available in July through Comcast and is “the first channel created entirely from the ground up in this new era of social media,” said the Bad Boy Records CEO.

“We’re building this platform for artist to reach an extraordinary number of people in a completely different way,” said the rapper-entrepreneur. The network will feature art, music, fashion, culture, and film for the African American demographic.

LADY JAY D..AFUNGUKA...ASEMA MUNGU SIO RUGE WALA KUSAGA !!!!!!!!!!BONGO NDO HIYOOOOOOOOOOOOO

Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt yafuatyao. 

Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!

VIDEO...NANI MKALI RONALDO...AU MESSI ????...........ANGALIA HAPA !