PASAKA SPECIAL..PILAU LA KUKU NA MCHUZI @ KILIMANJARO PASSION-WASHINGTON,DMV


CHEF SHABANI'S EASTER SPECIAL - "KUKU PILAU NA MCHUZI" - SUNDAY 1PM-11PM...THEN REGGAE NITE TILL 2 AM


MKURUGENZI  NA TEAM NZIMA YA "MGAHAWA WA KILIMANJARO UNAPENDA KUWATAKIA KHERI YA PASAKA WATU WOTE.PIA TUNA WAKARIBISHA KATIKA MGAHAWA WENU WA KISASA KABISA NA MJISIKIE NYUMBANI WAKATI WOWOTE,NAPIA TUNATOA SHUKRANI KWA COMMENTS ZENU NA MAWAZO YENU KWANI NDIYO YANAYOUJENGA MGAHAWA HUU.JUMUIKA NASI JUMAPILI HII,MAKE IT A FAMILY DAY AT KILIMANJARO PASSION,THIS SUNDAY SPECIAL NI PILAU LA KUKU KWA AJILI YA SKUKUU YA PASAKA.KARIBUNI SANA KUANZIA SAA SABA MCHANA HADI SAA TANO USIKU....ALAFU TUNAENDELEA NA REGGAE NITE KWENYE ULE UPANDE WA LOUNGE KUANZIA SAA TANO HADI SAA NANE USIKU,KIINGILIO CHA REGGAE NITE NI BURE !
 TUPO....
                 2310 PRICE AVENUE,SILVER SPRING WHEATON,MD,20902