OMMY DIMPOZ ALIVYO ITIKISA WASHINGTON DC..THE VERY DEFINITION OF WOW!!! WATCH MORE PICTURES FROM THE SHOW

OMMY DIMPOZ akifanya vitu vyake
     Poz kwa Poz akifanya vitu vyake
Maana ya TUPOGO = TUPO NA TUNA GO maisha yanakwenda mbele
Mwanamuziki Mtanzania aishiye Marekani AJ Ubao Katika Picha na Dimpoz
Super Promoter DMK Akipata Interview ya Swahili TV na Ommy Dimpoz back stage kabla ya kupanda jukwaani.Mbali na Kuwa Mkurugenzi wa DMK Global Promotions huyu Ndugu pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group,Kampuni ambayo inamiliki Swahili Radio Online,Swahili TV online,na Blog hii ya Swahilitv Blog.
MR "DMK"  akipata Ukodaki na Warembo ..Pia DMK alisherekea Bday Yake siku hiyo hiyo