MAMBO YA - RED CARPET -DIAMOND CONCERT HOUSTON TEXAS.....JUMAMOSI HII NEW NEW YORK NEW JERSEY!
DIAMOND PLATNUMZ - SAFARI RESTAURANT DC INAKUKARIBISHA MEET & GREAT YA DIAMOND LEO KUANZIA SAA 12 HADI SAA 2 JIONI (6PM-8PM)

Photo: Wen its time to get fresh...we freshin outta street###With @diamondplatnumz and the International DJ the official Diamond Platnumz DJ @romyjons a.k.a The Party Starter #NewYork #New Jersey....Ya better be ready #wecan #Wewill #wewontstop
 Promoter DMK GLOBAL.........DIAMOND ..........The International DIAMOND DJ ROMY JONS.
Photo: DIAMOND WASAFI DANCERS....HAVING LUNCH IN WASHINGTON DC.....AT SAFARI RESTAURANT....#Romyjons ..Official DJ
 MA Dancer wa Diamond (WASAFI) wakiwa na DJ wa Diamond (Romy Jons)Pamoja Mwenyeji wao Promoter (DMK) alipowakaribisha Dinner kwenye Restaurant yake ya "SAFARI" Washington DC

BAADA YA KUZIKONGA NYOYO ZA WANA HOUSTON..KWA MARA NYINGINE TENA "AJ UBAO " NA "PRINCE HERRY " KUFUNGUA SHOW YA DIAMOND NEW YORK/NEW JERSEY JUMAMOSI HII


GALA DINNER YA AFRICAN DAY WASHINGTON, DC


Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye gwaride la bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 2,000. Afriacam day ya mwaka huu iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Ubalozi wa  Rwanda

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwa kwenye gwaride la bendera wakati wa ufunguzi wa Gala dinner ya African Day siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott, Washington, DC.Mabalozi wakisimama kwa nyimbo za taifa za Marekani na African Union.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni siku ya Jumanne May 27, 2014 siku ya African day iliyoadhimishwa Marriott ya Washington, DC.

Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe.Mathilde Munkanabana nae akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni.

Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali akitoa hotuba.

Meya wa DC, Mhe.Vincent Gray akitoa hotuba.

Meya wa DC, Mhe. Vinceny Gray akimkabidhi hati ya baraza la jiji la DC Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali ya Jiji la Washington, DC kutambua rasmi siku ya African Day.

Meya katika picha ya pamoja na waheshimiwa Mabalozi wa Rwanda, Tanzania na African Union.

Mwakilishi wa Serikali ya Marekani Mhe. Linda Thomas Greenfield akitoa hotuba.
kwa piidi bofya hapa