DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE

Promoter  " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya Diamond .Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo  kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo kwani anaipeperusha Vyema Bendera ya Tanzania.

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOWACHENGUA WASHINGTON DC SHEREHE ZA UHURU DEC 6 ..OFFICIAL PHOTOS

   Promota DMK na Ligate wakiwekana sawa na Diamond na Madansa wake Kabla ya Kwenda Ukumbini Kuanza Show
                               Promota DMK Global na Diamond Wakigonga It's a Go Time.
                          Safari ya Kuelekea ukumbini sasa ikaanza wakiongozwa na Bwana Innocent
                                     Bwana Inno,Phanuel na DMK wakipata ukodaki kabla ya kuingia
                                                       Final Words na Bwana DMK
                                         Nenda Kamwambiae....Kazi ndo sasa Inaanza
                                                                               WCB


MARRY XMAS EVE NDANI YA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC KWA PUNGUZO LA ASILIMIA 20%.

SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC
Tunapenda Kuwatakia Xmas Njema Wateja wetu wote,leo Jumatano Usiku wa kuhamkia Xmas tunatoa punguzo la asilimia 20% kwa kila ENTREE ili kuwezesha watu wote kuikaribisha Xmas ndani ya Safari Restaurant Washington DC,
  TUNAFUNGUA KUANZIA 5PM-11PM,NA SIKU YA ALHAMISI TUTAFUNGA ili Kuwawezesha wafanyakazi wetu Kusheherekea XMas pamoja na Familia Zao.
 ADDRESS ni 4306 Georgia Avenue,NW,Washington,DC,20011,KARIBUNI.

OFFICIAL PHOTOS :- NDANI YA UKUMBI ILIVYOKUWA USIKU WA UHURU NA DIAMOND PLATNUMZ WASHINGTON DC DEC 6 #UKODAKIMOMENT

Mapromota Walioandaa Party ya Uhuru  Washington DC Katika Picha Na MHE. Balozi Mulamula 
kutoka kushoto ni  DMK , Balozi Mulamula , Innocent ,Phanuel
        Mhe Balozi akiwasili akiongozana na Waandaaji Bwana DMK na Bwana Innocent

              Mhe Mbunge  Leticia Nyerere katika meza moja na Promota Phanuel