MAKALIO YA KIM KARDASHIAN YAONGEZEKA NDANI YA WEEK MOJA!


                                   Week iliyopita yalionekana namna hii..juu na chini


                                                      Hivi ndivyo alivyoonekana week hii.
   Mastaa wa Marekani kweli wana mambo.Week iliyopita Kim alionekana akimpeleka mtoto wake Lunch katika Restaurant moja Hollywood na Umbo lake la nyuma lilikuwa dogo.Lakini Week moja baadaye jana Kim aliweka Picha hii kwenye Instagram yake akionyesha Jinsi alivyo umbika.Sasa swali ambalo limekuwa gumzo ni kwamba inawezekanaje Kim week iliyopita alikuwa na Makalio madogo alafu week hii yameongezeka?Je yale makalio makubwa sikuzote huwa sio ya kwake??
    Na inaonekana kweli kuwa Yameongezeka ndio maana hata yeye mwenyewe kayapenda hadi kuwawekea washabiki wake Picha ili wayaone.
   Hayo nidyo maisha ya Hollywood Celeb!!!