VIJIMAMBO KURUSHA LIVE MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI MAREKANI

10:00 am - 5:00 pm Vazi la Kitanzania
7:00 pm - 3:00 am Vazi lolote lakini uwe umependeza

BURUDANI ZOTE NI KATI YA 10:00 AM - 5:00 PM
USIKU NI CHAKULA NA MUZIKI WA DISKO TU.

Chakula cha mchana Kuanzia kifungua kinywa na vinywaji  vitauzwa muda wote Dinner peke yake ndio itakayokua Free.

Tafadhali zingatia muda. Rais Mustahafu Ali Hassan Mwinyi ataingia ukumbini 10:30 am(saa 4:30 asubuhi)

KARIBU</div>

MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE COOKOUT ILIYOANDALIWA NA DMK NA MARAFIKI ZAKE WASHINGTON SIKUKUU YA UHURU WA AMERICA!

KUMRADHI PICHA TOKA KWENYE SIMU YA i REPORTER
MAMBO YALIANZA TARATIBU KAMA HIVI
WATU NA FAMILIA ZAO ZIKIZITI KUONGEZEKA
JUA LIKIZAMA NA WATU WAKIZIDI
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWA NJE MAMBO SAFIII
WATU WALIMWAGIKA HADI MLANGONI HAKUPITIKI
NGAZI ZA KUINGILIA THE HAMPTON CONFERENCE CENTER PATASHIKA
KWA NDANI NDO KULIFUNGA KINOMA

CHEZEA BIRTHDAY YA MAREKANI WEWE
MTU NYOMI WATU ZAIDI YA ELFU MOJA
MAMBO YA BBQ NAYO YALIKUWA GADO
NYAMA CHOMA NDIZI CHOMA,MISHIKAKI NA MAINDI YAKUCHOMA
KWA WALE WALIOKOSA MSIKONDE WAANDAAJI WAMESEMA WATAWALETEA TENA KAMA HII YA WAAFRIKA WOTE WA WASHINGTON..TEGA SIKIO.