Usher yeye ana mpango wa kupigana ndondi na bingwa (Legend) Sugra Ray Leonard katika filamu ijayo ya stone.Usher amekuwa akijifua kisawsawa ili kuhakikisha kuwa mwili wake unafanana na role atakayocheza kwani kupigana na Sugar Ray hata kama ni kwa kuact si mchezo.Ukifuata Diet inayotakiwa pamoja na mazoezi utaweza kuwa na mwili kama huu!
THE GAME SASA KUWA LABEL MOJA NA DRAKE NA LIL WAYNE !
THE GAME AKIWA NA OMMY DIMPOZ HOLLYWOOD
Kama tulivyo waletea wiki iliyopita Kutoka jijini Los Angeles wakati DMK Global na Swahili TV walipokutana na kuzungumza na The Game wakati wa Ziara ya Ommy Dimpoz kule California kuwa Rapper huyo anategemea kujiunga na Cash money,Habari hiyo sasa imetimia baada ya CEO wa Cash Money records Birdman kutweet habari hiyo na The Game kumjibu let's go get them Niggaz.
Kwa hiyo kwa sasa The Game officially ni lable mate wa Drake,Nicki Minaj,Lil Wayne,Bow Wow na wengine wengi.
Subscribe to:
Posts (Atom)