OMMY DIMPOZ" KUWASHA MOTO HOUSTON TEXAS SEPT 28

TICKET ZIKO DISCOUNTED FOR $ 20
NUNUA YAKO MAPEMA USISUBIRI MLANGONI ZITAKUWA ZAIDI
INGIA / BOFYA HAPO CHINI

ANGALIA MASHABIKI WALIVYOCHANGANYIKIWA BAADA YA DIAMOND KUMLETA DIMPOZ KWENYE STAGE

           


USIKOSE KUMSIKILIZA "AJ UBAO" A.K.A "SWEET PETER JEETER THE LOVE DOCTOR" KATIKA KIPINDI CHAKE CHA MAPENZI, MAISHA NA MAHUSIANO KUTOKEA WASHINGTON D.C. NA SWAHILI RADIO

PATA INTRO KIDOGO KUTOKA KWA SWEET PETER JEETER THE LOVE DOCTOR
Swahili Radio inapatikana Duniani kote kutokea katika mtandao, katika Kompyuta aina zote, katika simu za mkononi za iOS - iphone,ipad,ipod, Android Samsung, LG, Pia katika Blackberry,Tablet aina zote. Ni rahisi kabisa kutupat.coma ingia katika blog yetu www.swahilitv.blogspot.com
MAELEZO JINSI YA KUTUPATA KWENYE SIMU ZA MIKONONI
1. Download Tunein (Tunein ni neno moja usiache nafasi) Tunein Radio app kwa simu yako mfano; iphone, ipad,ipod,android au Blackberry
2. Baada ya ku-download , open app na nenda kwenye browser  na andika neno swahili radio kisha search.
3. Ukiona logo yetu ya swahili radio bofya na sikiliza.


TUNAPATIKANA HEWANI MASAA 24 TUKIWATANGAZIA KUTOKA JIJINI WASHINGTON D.C. TUKIWA KATIKA MAJARIBIOKIJIWE CHA UGHAIBUNI BY VIJIMAMBO

MISA YA MAMA KAISI !


EDIBILY LUNYAMILA ALONGA NA VIJIMAMBO

Edibily Lunyamila mchezaji aliyewika enzi hizo alonga na Vijimambo akiezelezea maisha ya mpira baada ya kustahafu na changamoto gani wanazokumbananazo na kitugani kifanyike ili kukuza soccer la Tanzania MSIKILIZE