DIAMOND AFAGIA KILIMANJARO AWARDS..ASHINDA TUZO 7!

                    
                                                  Diamond akiwa na Moja ya Tuzo akitoa shukrani
                   
                                                    Diamond na Mpenzi wake Wema
Msanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz leo May 3, 2014 amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika Tuzo za KILIMANJARO 2014 (KTMA).

Diamond amejinyakulia tuzo:

Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume.
Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.

Hakika Diamond ameonyesha ukali wake, na kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi na anapendwa na watu.

 Juu na chini Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakikamua wimbo wao maalufu w "Me and U"

KUTOKA FACEBOOK RIDHIWANI AMPONGEZA DIAMOND KWA KUSHINDA KWA KISHINDO KTM

    
Kwanza Hongera sana kwa kushinda Kili Awards.Hii ni zawadi nzuri unayoweza kupata baada ya Jitihada,Kujituma, na Burudani nzuri kwa washabiki wako.Mungu akujalie mema zaidi ya hapo.Hongera sana Platnumz.