Na Mary Mgawe wa VOA
MISA YA KUMUAGA BI MARTHA SHANI NI LEO-WASHINGTON DMV!
MISA YA KUMUOMBEA NA KUMUAGA MAREHEMU ITAFANYIKA LEO TAREHE 27 OCTOBER GREENBELT LUTHERAN CHURCH
ADDRESS NI
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM.MD.20706
MISA ITAANZA SAA NANE MCHANA HADI SAA KUMI JIONI,ITAFUATIWA NA CHAKULA CHA JIONI PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU .
Subscribe to:
Posts (Atom)