Diamond aliandika hii caption , “Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama vyema katika ramani hii ya muziki worldwide na kuipa sifa na heshima zaidi East Africa yetu. Eeeh Mwenyezi Mungu ibariki Tanzani, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla. #LastNight #Onset #NumberOneRemix#DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera
Kwa mara ya kwanza Diamond amekuwa ndiye msanii wa kwanza kufanya Video na Dorector maarufu wa Nigeria ambaye amefanya video za wasanii wakali wa africa kama P Square na wengine wengi.
Hii ndiyo chart yetu Mambo Jambo Radio 93.0 FM kwa wiki hii ambapo kama inavyonekana kwenye picha hapo kwa wiki hii ngoma ya Ric Mavocco ROHO YANGU imeibwaga ngoma ya Diamond NUMBER ONE na kuichukua nafasi ya kwanza.
Kupigia kura ngoma yoyote ili ipande au iingie kwenye Chart yetu hii Unatuma ujumbe Mfupi ukianza na herufi KWT unaacha nafasi unaandika jina lako kisha andika jina la wimbo unaoupendekeza na utume ujumbe wako kwenda namba 15678