MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE UFUNGUZI WA KILIMANJARO RESTAURANR...WASHINGTON DMV !!


 Mgahawa wa Kilimanjaro uliopo 2013 Price Ave,, Silver pring, MD maeneo ya Wheaton umeanza kwa kishindo kwa Watanzania kumsapoti Mtanzania mwenzao wakiongozwa na Kaimu Balozi Mama Lily Munanka
 Asilimia 99.9 walikua ni Watanzania waliofika siku ya kwanza ya ufunguzi wa Mgahawa wa Kilimanjaro uliopo Wheaton, Silver Spring, Maryland.
 Kaimu Balozi Mama Lily Munanka akisalimiana na Majida Gao huku baba mwenye nyumba wake Arthur Gao akiangalia
Kaimu Balozi Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani akisalimiana na watoto na wajukuu wa Balozi Nyang'anyi mara alipoingia kwenye mgahawa wa Kilimanjaro ambao umefunguliwa leo rasmi
Kaimu Balozi Mama Lily Munanka akiagiza chakula huku Afisa Ubalozi Abbas Missana akisubili zamu yake.
Kaimu Balozi Mama Lily Munanka katika picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi Abbas Missana (shoto), Suleiman Saleh (aliyesimama) na Mama Love Maganga
 Watanzania waliofika kusapoti Mtanzania mwenzao kwenye ufunguzi wa Mgahawa wa Kilimamnjaro uliopo Wheaton, Silver Spring, Maryland.
Watanzania wakimsapoti Mtanzania mwenzao kwenye mgahawa mpya uliofunguliwa leo Ijumaa March 15, 2013 maeneo ya Wheaton, Silver Spring, Maryland.
Watanzania waliofika Mgahawa wa Kilimanjaro kumsapoti Mtanzania mwenzao kwenye ufunguzi wa mgahawa huo uliofanyika leo Ijumaa March 15, 2013


 Watanzania wakiangalia orodha ya vyakula vilivyopo tayari kwa kuagiza
kwa picha zaidi bofya read more