TANGAZO LA MSIBA WASHINGTON-DMV
MAREHEMU- MARTHA SHANI
NDUGU ALEX KASSUWI WA FREDERICK MARYLAND ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MKE WAKE BI MARTHA SHANI KILICHO TOKEA GHAFLA LEO TAREHE 19 OCT 2013 SAA 11 JIONI KATIKA HOSPITALI YA FREDERICK MEMORIAL.
KAMA ILIVYO DESTURI YETU TUNAOMBA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI TUJUMUIKE NA FAMILIA YA MAREHEMU KATIKA WAKATI HUU MGUMU. TARATIBU ZOTE ZA MSIBA ZITAFUATIA BAADAE.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA BWANA ALEX KASSUWI FREDERICK, MD.
ADDRESS NI-
482 ARWELL CT
FREDERICK, MD,21703
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
KWA MAELEZO PIGA NAMBA ZIFUATAZO
MARIAM MTUNGUJA - 240-422-1852
MV MTUNGUJA - 240-593-0575
VICTOR MARWA - 240-515-6436
AUGUSTINO MALINDA -240-565-7133
JULIUS MANASE -240-393-8445
DICKSON MKAMA - 301-661-6207
QUIZELLA NTAGAZWA - 240-602-5011
FAITH ISINGO - 240-705-1055
"TUPOGO" YA OMMY DIMPOZ YAENDELEA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWENYE CHAT YA MUZIKI TANZANIA KWA WEEK YA 3 MFULULIZO !
CHINI NI VYANZO VINAVYOTUMIKA KUPATA MATOKEO YA CHART HII
Marimba Music Chart Tanzania huandaliwa na Bongo 5 kila week ambapo huchukua vyanzo mbali mbali na kuweza kupata ni Muziki gani unashika nafasi ya kwanza na kuendelea kama ilivyo kwenye Billboard Music Chart.
Wimbo mpya wa Ommy Dimpoz wa TUPOGO aliouimba na mwanamuziki kutoka Nigeria JMartin umendelea kukaa kileleni kwenye chart hiyo kwa week ya tatu mfululizo huku Wimbo wa Diamond MY NUMBER ONE ukiendelea kushika nafasi ya Pili kwa weeke ya tau nfululizo.Inaonekana bado hakuna wimbo unaopendwa sana Tanzania kwa sasa wakuweza kuipiku TUPOGO YA OMMY DIMPOZ "PKP"
HEMEDI AJA NA VIDEO YA KIBAO CHAKE KIPYA-JE WEWE UNAIONAJE?
Mimi kwa maoni yangu naonaVideo ni nzuri Ila ingependeza sana Kama Mr Blue angekuwemo kwenye Video kwani Verse yake ameua!!
MASTER P WIFE FILED FOR DIVORCE !!!
The couple has 4 minor children -- she wants full custody. They also have famous adult son, Romeo.
Sonya wants spousal support. This one's a little weird. Back in 2011, Sonya went to court to get child support. At the time we thought they were already divorced, but now we learn no one ever pulled the trigger and filed divorce documents. So she did it now, but we're told they've been separated for a long time.
MAKALIO YA KIM KARDASHIAN YAONGEZEKA NDANI YA WEEK MOJA!
Week iliyopita yalionekana namna hii..juu na chini
Hivi ndivyo alivyoonekana week hii.
Mastaa wa Marekani kweli wana mambo.Week iliyopita Kim alionekana akimpeleka mtoto wake Lunch katika Restaurant moja Hollywood na Umbo lake la nyuma lilikuwa dogo.Lakini Week moja baadaye jana Kim aliweka Picha hii kwenye Instagram yake akionyesha Jinsi alivyo umbika.Sasa swali ambalo limekuwa gumzo ni kwamba inawezekanaje Kim week iliyopita alikuwa na Makalio madogo alafu week hii yameongezeka?Je yale makalio makubwa sikuzote huwa sio ya kwake??
Na inaonekana kweli kuwa Yameongezeka ndio maana hata yeye mwenyewe kayapenda hadi kuwawekea washabiki wake Picha ili wayaone.
Hayo nidyo maisha ya Hollywood Celeb!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)