Hip Hop Awards mwaka huu itakuw arecorded siku ya september 28 katika jiji la ATL nakurushwa hewani siku ya Jumanne tarehe 15 .Mwaka huu Mwanahip hop chipukizi ameongoza kwakuwa na 14 Nominations kuliko wanamuziki magwiji kama Jay Z,Kanye,Wayne na wengine,hivyo kama ikitokea akashinda zote itabidi atengeneze chumba kimoja nyumbani kwake kwa ajili ya Zwards tu kwani itakumbukwa kuwa Lmar alishinda awards mbili kwenye BET Music Awards Mwezi wa sita mwaka huu.
ANGALIA NOMINEES HAPA CHINI
Best Hip-Hop Video
A$AP Rocky featuring Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar, “Problems”
B.o.B featuring T.I. & Juicy J, “We Still In This”
J. Cole featuring Miguel, “Power Trip”
Drake, “Started From The Bottom”
Kendrick Lamar, “Don’t Kill My Vibe”
A$AP Rocky featuring Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar, “Problems”
B.o.B featuring T.I. & Juicy J, “We Still In This”
J. Cole featuring Miguel, “Power Trip”
Drake, “Started From The Bottom”
Kendrick Lamar, “Don’t Kill My Vibe”