HALI YA AFYA YA SCHUMACHER BADO NI TETE...ONYO LATOLEWA KWA WAANDISHI WA HABARI ZISIZO THIBITISHWA!

Meneja wa bingwa mara saba wa mashindano ya magari ya langalanga ya F1, Michael Schumacher, ameonya dhidi ya taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya watu kuhusu afya ya mwanamichezo huyo.
Onyo hili limekuja baada ya mtu mmoja kukaririwa akisema maisha ya Schumacher hayako hatarini.Schumacher bado yuko katika hali "mahututi japo imara" katika hospitali huko Grenoble nchini Ufaransa baada ya ajali ya kuanguka na kupigiza kichwa kwenye mwamba wakati akiteleza katika theluji ya milima ya Alps.
Taarifa kutoka kwa meneja Sabine Kehm imesema taarifa zote ambazo hazitolewi na mameneja au madaktari, lazima zichukuliwe kama "uzushi mtupu".
Taarifa hiyo pia imekanusha ripoti ya kutokabidhiwa kwa hiyari, Camera iliyokuwa imefungwa katika kofia ngumu "helmet" ya Schumacher wakati wa kuteleza, kuwa hazina ukweli.
Concern: Michael Schumacher's wife, Corinna, arrives at the Grenoble hospital where her husband is being treated after sustaining a head injury during a ski accident in French Alps
Michael Schumacher's wife, Corinna, arrives at the Grenoble hospital where her husband is being treated after sustaining a head injury during a ski accident in French Alps, akiwa na Security ya hali ya juu.
                                                         Vigil: Michael Schumacher's father Rolf, left, and brother Ralf arrive at Grenoble Hospital, French Alps, on Sunday where the former seven-time Formula One champion is being treated after sustaining a head injury
Wakiwa na sura za huzuni Michael Schumacher's father Rolf, left, and brother Ralf arrive at Grenoble Hospital, French Alps, on Sunday where the former seven-time Formula One champion is being treated after sustaining a head injury,hali bado ni tete
Nyumbani kwake as  you can see pametulia sana hamna movement yeyote kwani hali ni tete.

KIJIWE CHA UGHAIBUNI