BET Awards 2013 Highlights With Chris Tucker Impersonation Of Michael Jackson, Kevin Hart, Janelle Monae, 2 Chainz!!

       


KUTOKANA NA PILIKA PILIKA ZA SHEREHE YA MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI KIJIWE CHA UGHAIBUNI HAKITAKUWA HEWANI

 Kutokana na heka heka ya matayarisho ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani kile kipindi chako ukipendacho kinachorushwa kila Jumanne na blog zote hakitakuwa hewani Jumanne July 2, 2013 Wanakijiwe na kruu nzima wanaomba radhi kwa usumbufu wote utakaotokea lakini tunakuahidi Jumanne July 9, 2013 kipindi chako kitarudi hewani kwa nguvu zote.
Wanakijiwe na kruu nzima ikiwa nje ya mjengo wa Kijiwe cha Ughaibuni

SHILOLE NA MASANJA WATEMBELEA UBALOZI WATANZANIA WASHINGTON DC.

 Juu na chini ni Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakiwa nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC mara walipopita na kupiga picha nje ya mjengo Jumapili June 30, 2013 walipokua wakitokea uwanja wandege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia. Kesho mchana Jumanne April 2, 2013 watatembelea rasmi mjengo huo na kusaini kitabu cha wageni.
 Masanja na Shilole wakiwa na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wakiangalia menyu tayari kwa kuagiza dinner ya mchana walipokwenda mgahawa wa kijiji cha Swahili uliopo Beltsville, Maryland
 Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na mmiliki wa mgahawa wa Swahili Village Bwn.Kelvin.
Masanja na Shilole wakiingia kwenye usafiri wao kuelekea Hotelini walikofikia.

SWAHILI TV INATAMBULISHA RASMI BLOG YAKE KWA WADAU WOTE.

                         
                                SWAHILI TV TUNATAMBULISHA RASMI BLOG YETU KWA WADAU WOTE.
                                          USIPITWE NA HABARI. SOMA KUTWA MARA X 3 

                                                        SWAHILITV.BLOGSPOT.COM


Wiz Khalifa and Amber Rose Making Out At BET Awards 2013

Wiz Khalifa and Amber Rose Making Out At BET Awards 2013 + The Parents Talks About Their New Baby Boy!! -- Video Inside -- The new parents gush over their baby boy and share how their lives have changed since his birth. Plus, hear their advice to young couples.
Read more at