YAMOTO BAND KUPIGA SHOW KWENYE TANZANIA NIGHT @ 54 NDANI YA WASHINGTON DMV JUMAMOSI DECEMBER 5 !!

                                                                         ** KIINGILIO** 
                                                       $ 30 - WATU 200 WA KWANZA 
                                                       $ 40 - BAADA YA WATU 200 KUTIMIA
                                              TUNAOMBA MUWAHI ILI SHOW IANZE MAPEMA

MWANA MUZIKI MAARUFU MARIAH CAREY AHAMIA KWA MCHUMBA BILLIONEA


Baada ya Kuachana na mumewe NIck Canon  Mariah Carey ameamua kuhamia moja kwa moja kwa mchumba wake mpya ambaye ni bilionea kutoka nchini Australia, James Packer.Habari tulizopata zinasema Carey alihamia mara baada tu ya sikukuu ya Halloween.Kwasasa inasemekana anafuraha kupita alivyokuwa na Nick !

FINALLY "RIHANA " AANZASHA KAMPUNI YAKE YA UREMBO -INAITWA FR8ME

NA  Hollywood Reporter- Rihanna ameanzisha kampuni ya Urembo inayotambulika kama Fr8me akishirikiana na meneja maarufu wa watu wenye vipaji Marekani Benoit Demouy, huku hadi sasa wakiwa wamekwisha wasaini baadhi ya wasanii kwenye kampuni hiyo.
Wasanii ambao wamekwisha sainiwa ni pamoja na Taraji P. Hensen, Jason Bolden, Patricia Morales, Evan Rachel Wood na Fergie.“Tuna bahati kubwa kupata wasanii bora katika kampuni hii,’ alisema Rihanna