KANUMBA-RATIBA YA MAZISHI-JUMANNE YA TAREHE 10

                               
                                         STEVEN KANUMBA- 1984-2012
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa siku ya jumanne tarehe 10 April, katika Jiji la Dar-es-salaam..mahali atakapozikwa bado haijajulikana kwani anasubiriwa Mama wa Marehemu ambaye anatokea SHINYANGA...akifika ndo hataamua...Endelea Kuangalia blog yetu kwani tutawajulisha pindi tutakapopata Habari.

ACTRESS-WEMA SEPETU AWASILI NYUMBANI KWA KANUMBA KUOMBOLEZA...WATU NI WENGI ASUBUHI HII


   FORMER MISS TANZANIA AND KANUMBA X - GIRLFRIEND....WEMA SEPETU-AKIWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU HUKU AKILIA KWA UCHUNGU.

MBUNGE WA UBUNGO-MH JOHN MNYIKA AKIMFARIJI NDUGU WA MAREHEMU

 MCHEZA CINEMA NATASHA(MAMA MONALISA)AKIWASILI  NYUMBANI KWA       MWIGIZAJI MWENZIE MAREHEMU KANUMBA HUKU AKILIA KWA UCHUNGU

                     NJE YA NYUMBA YA MAREHEMU.....WATU WAKISIKITIKA ..HAWAHAMINI
                                                           .......kwa hisani ya Lukaza..Ahsante....

BREAKING NUUUUUUUZ..THE VIDEO FOR DRAKE & RIHANNA "TAKE CARE" HAS JUST DROPPED CHECK IT OUT!


    
AS I TOLD YOU KEEP CHECKING BACK..THE VIDEO WILL BE DROPPED TODAY...NOW DRAKE & RIHANNA NEW VIDEO FOR "TAKE CARE" IS HERE...JUST DROPPED..ENJOY IT..

TYLER PERRY BUYS OPRAH & HER BEST FRIEND GAYLE..MATCHING NEW BENTLEY


 
Oprah Winfrey was having lunch with bffsGayle King and Tyler Perry when Oprah admired Tyler’s new Bentley.
The next day Tyler had a Bentley just like it sent over to Oprah and when Gayle called to thank him, he sent her one too…                   Gayle tells Vanity Fair magazine,
“(Oprah admired the Bentley) so he sent her the same exact car. I called Tyler and told him how amazing that was because nobody ever does anything like that for her, on such a grand scale. And so, the next day when I got home, there was a Bentley in my driveway!”..I NEED A RICH FRIEND TOOO DAMMIT ...LOL

STEVEN KANUMBA -UPDATES ABOUT HIS DEATH:

   Ni alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi
                      
                                              ACTOR  -MAREHEMU  STEVEN KANUMBA
                      
          JUU- RAY A.K.A. VINCENTI KIGOSI-KANUMBA'S  BEST FRIEND FULANI HIVI...ALIKUWEPO HASUBUHI HII NYUMBANI KWA KANUMBA.....HAAMINI KILICHO TOKEA
 
         UMATI MKUBWA WA WATU NJE NYUMBANI KWA KANUMBA SINZA VATICAN
                      
                                                                WATU WAKILIA KWA UCHUNGU

                                 PICHA HIZI KWA HISANI YA DJ CHOKA (DAR)