
Ommy Dimpoz akiwa Nyumbani kwa Mr and Mrs Matope (Familia ya Miss Temeke) akipata Dinner
Nyumbani kwa Miss Temeke ambapo Dimpoz aliharikwa akiwa pamoja na Promoter wake na Wageni wengine waalikwa.Dinner hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa Miss Temeke ambao walifurahia dinner pia kupata fulsa ya kuchat one on one na Superstar huyo.

Ommy Dimpoz akiwa na Mr Matope mume wa Miss Temeke wakipata Dinner

Familia ya Mr Matope katika picha ya pamoja na Dimpoz
