DIAMOND...AZIDI KUWATIKISA WANAMUZIKI WA NIGERIA!


                                                                  WAJE -SINGER NIGERIA
     Mwanadada mwanamuziki Kutoka Nigeria Waje katika insta yake amemwagia sifa kedekede Mwanamuziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
     Waje ni mmoja ya wanamuziki kutoka Nigeria ambaye amefanya Collabo na Diamond jana Usiku na kuisema kuwa She cant wait for the song to come out.
    Waje ndiye Mwanadada aliyeimba kwenye ile single iliyotikisa Dunia kutoka kwa P'SQUARE ya DO ME.
 Kama umfahamu vizuri angalia moja ya Video zake hapo chaini.