
Mashabiki walipagawa huku wakimvuta kila mtu akitaka kumgusa gusa tu.

Washabiki wakiitaka Miwani aliyokuwa amevaa Dimpoz

Mwamba wa Kaskazini Joh Makini akilishambulia Jukwaa Vilivyo

Masai wa Kigoma..naye alikuwepo na miondoko yake ya Kimasai masai

Twanga Pepeta wakitwanga Jukwaani..kama wanavyoonekana

Mwana Mazingaombwe Profesa Kalabash naye akifanya mbwembwe zake jukwaani
Hakika sikukuu ya Eid ilikuwa swafi kabisa kwa wakazi wa Dar-es-salaam kwakuwa mbali na Dar Live pia kulikuwa na show nyingi tu Kigambni na sehemu zingine.