KILIMANJARO PASSION YATOA SHUKRANI !!


KWA MAONI AU MAELEZO ZAIDI PIGA -301-661-6207 OR DICKSON@DMKGLOBALPROMOTIONS.COM
UONGOZI NA WAFANYAKAZI WOTE WANAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA WATU WOTE KWA USHIRIKIANO WALIO UONYESHA WIKI NZIMA TOKA TULIPOFUNGUA.PIA TUNASHUKURU SANA KWA MAONI YENU KWANI NDIYO YANAYOTUJENGA NA TUNAOMBA SANA SANA MSISITE KUTOA MAONI AU KUKOSOA PALE TUNAPOKOSEA KWANI MGAHAWA HUU NI WENU KWA AJIRI YENU HIVYO MJISIKIE NYUMBANI.
VILE VILE KUTOKANA NA MAONI YA WENGI KUANZIA JUMAMOSI TAREHE 29 TUTAKUWA TUNAFUNGUA MAPEMA KAMA IFUATAVYO
JUMAMOSI @ 12PM -11PM THEN LATE NITE MENU TILL 2:30 AM
JUMAPILI @ 12PM-10PM THEN REGGAE NITE SUNDAY TILL 2 AM
MONDAY -CLOSED 
TUESDAY-FRIDAY @ 4PM-11PM 
HAPPY HOURS EVERYDAY FROM 4PM-7:30PM
KARIBUNI.