
AKELEKEA KWENYE KOPTA

DIAMOND AKIWA NA RUBANI WA KOPTA YAKE HIYO WAKIELEKEA

AKI SALUTE KABLA HAJAPAA

HAPA AKIMUOMBA MOLA SAFARI YAKE IWE YA SALAMA..GOD FIRST..BIG UP

AKIWA ANGANI KUELEKEA MBAGALA

MASHABIKI WAKIMSUBIRI KWA HAMU ALIKUWA AKIWASILIANA NAO KWENYE MICROPHONE AKIWA ANGANI

MASHABIKI WAKIWA WAMEPAGAWA