DIAMOND ASEMAAAAAAAAAAAAA.....SINA MAPENZI TENA NA WEMA SEPETU
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo amefunguka kuwa hana tena mapenzi na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Isaack Sepetu. Akihojiwa na Zamaradi Mketema katika kipindi cha Take One kinachorushwa na Clouds TV, Diamond ameeleza anavyomfeel sana mpenzi wake wa sasa Penny ambaye anadai anamuheshimu na wala hamcheat. Kuhusu kutoka kimapenzi na wasanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya pamoja na Aunt Ezekiel, Diamond ameruka kwa kusema kuwa anamheshimu sana Uwoya wakati akidai kuwa Aunt alikuwa demu wa mshikaji wake. Mkali huyo ameweka wazi pia kuhusu mapenzi yake na Jokate kwa kummwagia sifa kadhaa na kueleza kuwa yeye ndiye mwenye makosa maana Jokate alikuwa innocent na hakuwahi kumkosea japo aliachana naye na kurudi kwa Wema kabla hajaangukia kwa mrembo Penny ambaye ndiye anataraji awe mama watoto wake.
KIFO CHA NGWAIR....TWEET YAKE YA MWISHO NDO HII....JE ALIJUA ATAKUFAAA?
TWEET HII IMEFANYA WATU WENGI KUJIULIZA KAMA ALBERT NGWAIR ALIJUA ZIMEFIKA...NA KAMA ALIJUA JE NI NINI KILIMSIBU?......STAY TUNED!!
BREAKING NEWS KUHUSU KIFO CHA NGWEA/ LINGINE LILILOTUFIKIA HIVI PUNDE KUUSU M2-THE-P
chanzo chetu cha habari kinatupasha kua marehemu Albert Mangwea alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD, habari zinasema kua M2-THE-P nae hali yake sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wa M2-THEP pia.."hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu" - Daktari amenukuliwa..
..endelea kua nasi ambapo tutakujuza zaidi kwa yakini nini sababu ya kifo cha mangwea na nini kimemkumba M2THE-P na alikua na ngwea mpaka mauti yanamfika.....
Subscribe to:
Posts (Atom)