EXCLUSIVE VIDEO- RACHEL "NASHUKURU UMERUDI "....NOMAAAAAA

Chris Tucker Tells Ellen Degeneres How He Blew $25 Million From His Rush Hour Movie!! -- Video Inside

     
Chris Tucker Tells Ellen Degeneres How He Blew $25 Million From His Rush Hour Movie!! -- Video Inside -- Chris Tucker Tells Ellen Degeneres How He Blew $25 Million From His Rush Hour Movie!! 

Kanye West Dropping A New Album Called 'Rich Black American' ?? This Will Be Kanye's Sixth Solo Studio Album!!! --


       
Kanye West Dropping A New Album Called 'Rich Black American' This Year?? This Will Be Kanye's Sixth Solo Studio Album!!! First, Beyonce blackouts the Super Bowl, then she announces "The Mrs. Carter Show" World Tour, now Kanye West is teasing his forthcoming new album, which is allegedly titled Rich Black American.

An image of the new album's rumored tracklist appeared on the internet late last night, which displayed seven tracks that feature artists like Florence Welch, Big Sean, Skrillex, 2 Chainz, Frank Ocean, and Pusha T.


There's no word on whether this image is a confirmed tracklist, or if Kanye's sixth solo studio album is really titled Rich Black American.

It's been a little over two years since Kanye dropped his highly acclaimed album, My Beautiful Dark Twisted Fantasy,

and a year since Yeezy took over the rap game with Jay-Z on their collaborative album, Watch The Throne.

The daddy-to-be is set to release his forthcoming album sometime this year.

Are you excited for a new Kanye album? Share your thoughts on the title Rich Black American below!
WHY WHY WHY KANYE......IS THIS RACISM??????
PLEASE COMMENT BELOW........BILA KUOGOPA

Russell Simmons Breaks Down The Illuminati and Beyonce 'It's Not A Secret Society, It's What We Do.' READ..


        
Russell Simmons Breaks Down The Illuminati and Beyonce 'It's Not A Secret Society, It's What We Do.' (New) Beyonce "Illuminati" rumors again? C'mon son, I thought we were done with that. Everyone that's been accused of being in the Illuminati: Beyonce, Jay-Z, Rihanna, Kanye, even President Obama - they all have one thing in common, they work hard.

It's not a secret society, it's what we do. The status that comes with working hard and using your god-given talent is what leads to success. These "Illuminati" members are all focused and dedicated, and have been using their god-given talent since the moment they realized what was inside of them - what they were capable of and what they realized was worth working for.

After Beyonce's performance , all the "Illuminati" accusations came rolling in because of how incredible her performance was. But, to reach her level of talent, she's put in hours of hard work and practice.

What Beyonce's done since childhood is no miracle. It may appear to be a miracle to someone who doesn't put their head down and do the work,

but if you work hard, the results are extremely real. Look inside at your inner strength and give everything you've got to your own work.

I know I'm doing well when I'm questioned about being in the Illuminati. If you want to know the truth, I've got my eye on Illuminati status, that's how I know I'm on top of my game. And now that I'm out here in Hollywood, I'm ready to do it all over again.

SALAMU ZA MIAKA 36 TANGU KUZALIWA KWA CCM TOKA CCM TAWI LA UK.


CHAMA CHA MAPINDUZI- CCM.
TAWI LA UINGEREZA.

Tel:   +44 740 558 1 668 / +44 740 486 3333.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi TAWI la Uingereza, wanapenda kuungana na Wanachama wenzao Tanzania na popote pale walipo duniani katika kusherehekea miaka 36 ya kuzaliwa na kushika hatamu kwa Chama Chetu cha Mapinduzi.

Kwa furaha tumekuwa pamoja kimawazo tukifuatilia kwa ukaribu maadhimisho ya kitaifa ya sherehe za Miaka 36 yaliyofanyika kwenye Mkoa wa Kigoma na Kufikia kilele chake Leo Jumanne. Ni dhahiri na tumeshuhudia maelfu ya Wana-Kigoma na Watanzania wote kwa ujumla walijitokeza kwa wingi katika kuadhimisha siku hii,  yote haya yanaonyesha mapenzi ya Watanzania kwa Chama Cha Mapinduzi.

Wana CCM UK tunatambua ya kuwa Chama Cha Mapinduzi tumefika hapa tulipo kutokana na jitihada za kimapinduzi za waasisi wetu na waazilishi wa vyama vya  TANU na ASP , chini ya Uongozi wa Baba Wa Taifa -  Marehemu Mwalimu Julius K Nyerere na Marehemu Mzee Abeid Amani Karume . CCM hii ya leo imesimama imara kama matunda ya hekima na busara za wazee wetu na kuona mbali  kwa kuvunja vyama vya TANU na ASP kwa taadhima kubwa na kuunda Chama kimoja madhubuti cha Siasa nchini Tanzania . Miaka 36 baadae CCM imeendelea kutunza umoja, amani na upendo ,kwa kurithi yale waliyoaacha wazee wetu. Tunawashukuru sana na kuwaombea Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi.

Wana CCM-UK , Tunapenda kutoa pongezi na shukrani zetu kwa Viongozi wetu wote wa CCM waliopita kwa kusimamia na kuingoza nchi chini ya CCM na kuweza kudumisha  amani , upendo na umoja wa ndani na nje ya Tanzania. Tanzania ,chini ya Chama Cha Mapinduzi ilikuwa katika mstari wa mbele katika kuikomboa Afrika , na kushirikiana na wenzetu wa nchi nyingine za Afrika kisiasa na kijamii, hususani katika Umoja wetu wa nchi za Afrika Mashariki.


Wana CCM-UK ,Tunapenda tutoa pongezi za dhati na za pekee kwa Uongozi wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  , katika kuiongoza nchi kwa upendo, amani na utulivu. Pongezi zetu zaidi kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na viongozi wake, katika kutekeleza sera za CCM kupitia Ilani za Uchaguzi za Mwaka 2005 na 2010.  Nchi yetu imepiga hatua kubwa sana kimaendelea chini ya CCM na Tunatambua na kupongeza maendeleo nchini Tanzania yaliyotokana na Sera za CCM.

Ni jamabo la kujivunia sana kwa Wana- CCM hususani katika kipindi hiki kigumu chenye changamoto ambazo zimeikumba dunia nzima katika hali ya kiuchumi na mabadiliko ya kisiasa,kuona kwamba CCM imeweza kusimama madhubuti na imara na kuendelea kuongoza Nchi kwa amani.  Licha ya changamoto zinazojitokeza mara nyingine, kubwa na la msingi tunawapongeza sana Viongozi wetu na wananchi wa Tanzania kwa kuendelea kusimamamia na kudumisha hali ya utulivu, amani na upendo miongoni mwa Watanzania wote ndani na nje ya nchi.


Wana –CCM UK tunajivunia hali ya CCM kushirikiana pamoja na Vyama vingine vya siasa ndani ya Tanzania kwa nia na lengo la kuiletea maendeleo nchi yetu . Hii inadhihirisha ukomavu  wa Demokrasia wa hali ya juu na CCM imekuwa ni mfano wa kuigwa na vyama vingi vya siasa barani Afrika , na vilevile vyama vya siasa nchini Tanzania.

Wana CCM –UK na Dispora kwa ujumla,tunaendelea kushukuru kwa busara na hekima  za mwenyekiti wetu wa CCM Dr.Jakaya M Kikwete, kwa kuwezesha matawi ya chama tawala nje ya nchi kufanya kazi, hili limewapa nafasi wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi na Watanzania waishio nje ya nchi kuweza kupata nafasi ya kuchangia maendeleo na yale mazuri tuliyojifunza nje katika nyanja za kisiasa na kiuchumi na kurudisha nyumbani kwa manufaa ya nchi yetu kwa ujumla.

Kwa Watanzania wenzetu , wana ccm wenzetu ,tunawashukuru wote na tunaomba tuendelee kudumisha amani ,upendo,na utulivu wetu ambao umekuwa ni ngao na ni sifa  ya Tanzania popote uendapo duniani. Bila ya Chama Cha Mapinduzi , Tanzania ingekuwa wapi ?

Happy Birthday Chama Cha Mapinduzi

Mungu Ibariki Afrika

Mungu Ibariki Tanzania.

UMOJA NI USHINDI.



Imetolewa na Idara ya Itikadi, Siasa na Uenezi


CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA.

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUTOKA KWA =VIJIMAMBO

                      My Movie from Luke Joe on Vimeo.

CHEKA UNENEPE..LOL

OMMY DIMPOZ KUZINDUA VEO YAKE MPYA JUMAPILI HII !!

          Ommy Dimpoz