Idris Elba ni Mwigizaji Maarufu nchini Marekani ambaye ameigiza ile Filamu inayo subiliwa kwa hamu na watu wote duniani ya MANDELA.Mwandishi wetu DMK alibahatika kuonana na Idris siku ya jumatatu tarehe 21 Jijini Washington na Interview yake ya Papo kwa papo itarushwa hivi karibuni na Swahili TV.
Akizungumza juu ya Kiatu kikubwa ambacho amekivaa cha Mandela Mwigizaji huyo alisema it was an Honor kakwe yeye kupewa nafasi hiyo yakuigiza kama Mandela Mwana harakati anaye heshimika kuliko wote Duniani na alidai kuwa Filamu hiyo itakapo toka watu hawatakuwa disappointed.Filamu hiyo inaonyesha Maisha ya mandela wakati wakupigania ukombozi wa Africa ya Kusini hadi alivyo fungwa na kutoka mpaka kuwa Raisi wa kwanza Mweusi nchini Afrika ya Kusini....
angalia Trailler yake hapo chini...