AJ UBAO "MTANZANIA" TO PERFORM FOR NIGERIAN 51 INDEPENDENCE
MTANZANIA AJ UBAO AMEKARIBISHWA KUFANYA SHOW KATIKA SHEREHE ZA KUHADHIMISHA MIAKA 51 YA UHURU WA NIGERIA,JUMAMOSI OCTOBER 1 @ CROSSROAD CLUB IN WASHINGTON DC AKISHIRIKIANA NA WANAMUZIKI MBALI MBALI TOKA NIGERIA,PIA MANAGER WAKE NA PROMOTER "DMK" WA DMK GLOBAL PROMOTIONS AMETHIBITISHA KUWA AJ UBAO AMEHARIKWA KWENYE SHEREHE ZA THANKS GIVING ATLANTA ZITAKAZO ANDALIWA NA KENYAN COMMUNITY IN USA.
Subscribe to:
Posts (Atom)