BEYONCE DRUNK IN LOVE.......HOT

TYGA..BRAND NEW VIDEO "WORD'

DIAMOND..AZIDI KUWAPENDA WATOTO WASIO JIWEZA.


Diamond alisema kuwa ameamua kufanya hivyo kwasababu video yake ya kwanza aliizindua mbele ya watu waalikwa pale Serena,na sasa ameamua kuwapa heshima watoto hawa wasio na uwezo ambao ni mashabiki wakubwa lakini hawana uwezo wa kuhudhlia matamasha yake.



Diamond pia atafanya Show ya bure siku ya X-mas pale viwanja vya Leaders mchana kwa ajili ya watoto hao kabla ya kupanda ndege kuelekea mwanza kwenye show usiku huhu wa X-mas.
Mungu akuzidishie....Merry X-mas.

Kijiwe cha ughaibuni