UGALI NA NYAMA CHOMA- SPECIAL OF THE DAY @ KILIMANJARO PASSION,WASHINGTON DMV KWA AJILI YENU !
CHEF SHABANI'S SPECIAL OF THE DAY "UGALI NYAMA CHOMA $ 10 TU
LEO JUMATANO KUANZIA SAA 10 JIONI HADI SAA 5 USIKU !
MGAHAWA WA KISASA,MSAFI KAMA ULIVYOKUWA FEATURED KWENYE THE GAZETTE,MONTGOMERY COUNTY HOTTEST NEW JOINT!
BURUDIKA NASI BAADA YA KAZI FOR HAPPY HOUR KILA SIKU - FROM 4-7.30PM
**KILIMANJARO NI MGAHAWA PEKEE WASHINGTON DMV UNAOFANYA HAPPY HOUR HADI JUMAPILI **
*** MISHIKAKI $5
*** NYAMA CHOMA $ 6.50
*** 6 CHICKEN WINGS $ 4.50
*** CHIPS $ 1.50
*** PLANTAIN $ 1.50
VINYWAJI BARIDI
*** BEER BUCKET $ 15
*** ALL WINE $ 4
*** ALL MARTINI $ 4
*** TOP SHELF LIQUOR $ 5
NA VINGINE VINGI..HII NI HAPPY HOUR PEKEE MJI MZIMA INAYOENDA HADI JUMAPILI ALAFU BEI POA.
**SWALI LOLOTE PIGA SIMU # 301-661-6207 **
ADDRESS YETU NI:-
2310 PRICE AVENUE,SILVERSPRING/WHEATON,MD,20902
DIAMOND ALIVYOPAGAWISHA UKEREWE !!!
RAMA MPAUKA & MOSES IYOBO.... |
Umati wa watu walijitokeza kumsubiria President wa Wasafi ukumbini....watu hadi kwenye Mitii... |
Wachafuuuu wakianza Ustarabu wao Stejini.... |
Yanii....Hivii....Vile...kama kawaida yetu...!! |
Ulinzi ulihimarishwa na Jeshi La Polisi la Tanzania...Ukumbini hapo |
Huu ulikuwa umefika Muda wa Kulewa time.... wananchi wa ukelewe wliokuwepo ndan ya Ukumbi walishindana kulewa kwa style hiyo... |
Watu walikuwa busy na simu zao na Kupiga picha na kurekodi matukio Muhimu Huku Show zikiendelea...Ni Mambo ya Digital TU |
Nikiwashukuru Mashabiki wangu kwa kushow Love Kwangu AMANI NA UPENDO NDIO LUGHA YA KWETU KIGOMA |
Subscribe to:
Posts (Atom)