Wana DC Maryland na Virginia wajitokeza kwa wingi katika Picnic Day na Nyama Choma iliyoandaliwa na Jumuiya yao.
Watanzania wakifurahia kukutana pamoja na kupata picha za kumbukumbu
Kila mtu alikuwa na hamu ya kuongea machache na mwenzake aliyekuwa karibu naye
Wadau wakifurahia matunda ya Umoja wao hapa DMV, Sherehe hii iliandama na Nyama za kila aina, vinywaji na maongezi yaliyojawa na amani na upendo.