MJ FM ARUSHA YAPATA PIGO LA KUFIWA NA DJ WAKE MAARUFU "DJ BUPE"

AKIZUNGUMZA C.E.O WA MJ FM NDUGU JULIUS MAKIRI AMESEMA MAZISHI NI Leo tarehe 19 january pale katika makaburi ya Njiro Arusha Kuanzia saa Nane Mchana......
Wapenzi wote wa MJ FM Mnakaribishwa Kushiriki kwa pamoja Tumsindikize Bupe Na kuanzia saa Nne asubuhi Mwili wake utaagwa pale kwao Majengo Elirai na Sala pia itafanyika pale
SUPER STAR LADY JAY D ATOA PICHA MPYA AKIWA KILELENI MWA MLIMA KILIMANJARO...LUVIN DIS

JIDE.....KILELENI

JIDE AKILIA MACHOZI YA FURAHA


BAADHI YA WATALII KILELENI WAKIPATA UKODAKI NA SUPER STAR WETU

JIDE NA MUMEWE GADNA KILELENI
Subscribe to:
Posts (Atom)