HEMEDI AJA NA VIDEO YA KIBAO CHAKE KIPYA-JE WEWE UNAIONAJE? Mimi kwa maoni yangu naonaVideo ni nzuri Ila ingependeza sana Kama Mr Blue angekuwemo kwenye Video kwani Verse yake ameua!!