KUKU WAKUCHOMA PILAU NA KACHUMBARI NDIYO SPECIAL YA LEO KILIMANJARO RESTAURANT-WASHINGTON DMV


                      CHEF SHAABAN SPECIAL OF THE DAY ONLY FOR $ 12 
              
PIA USISAHAU KUAGIZA CHAI YA ILIKI NA MANDAZI SASA VINAPATIKANA !

                                                                      

    
              ANGALIA MENU HAPA WWW.KILIMANJAROFOOD.COM
             2310 PRICE AVENUE,SILVER SPRING-WHEATON,MD,20902
             TUNAFUNGUA KUANZIA SAA 10 JIONI HADI SAA 5 USIKU

SAKATA LA JIDE NA CLOUDS...RUGE AMJIBU JIDE.....LAKINI JIDE ASEMA AWAMU YA PILI YAJA!

Baada ya  Ruge Mutahaba kuzungumza asubuhi ya leo kuhusu kinachoendelea kati yao na mwanamuziki Lady Jay Dee kwenye mitandao tofauti ya kijamii, mwanadada huyo Komando ambaye kwa sasa antamba kwa jina la Anaconda amefunguka tena kupitia ukurasa wake wa facebook na kuandika kifuatacho:
  "Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni. Japo naona mbali ila nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake... Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender".

Soma hapa chini alicho kisema Ruge Leo ndani ya Power Breakfast


Haya ni mazungumzo ya Ruge Mutahaba na msimamo wa Clouds juu ya mwanamuziki Lady Jay Dee, mazungumzo ambayo yalifanyika kupitia kipindi cha Clouds fm cha cha Power Breakfast , mbali na mengi aliyoyaongea haya ni machache kti ya mengi na hivi ndivyo alianza:

RUGE:
As a country we need to discuss issue kwa maendeleo ya nchi, tuachane na ku-discuss ishu hizi kama personal issue.