FAMILIA YA KINA KIM KARDASHIAN YAZIDI KUTOA WALIMBWENDE..SASA MDOGO WAO AJIACHIA ACHIA...AMEANZA KUBEBA HEADLINES!


                  Kendal Jenner Mdogo wake Kim Kardashian ....Je wamuonaje onaje huyu??

                                           Hakika Familia hiyo Imejaaliwa kwa warembo

       kuna uwezekano huyu nae anaweza kuja na ile Tape kama ya Kim hivi karibuni..stay tuned.

WEMA SEPETU AWASILI DAR AKITOKEA HONG KONG


 Wema Sepetu amewasili Tanzania jana akitokea Hong Kong ambako alikuwa mapumzikoni kwa muda mrefu .Akiwa Hong Kong Wema alikutana na Diamond nakukumbushia penzi lao ingawa Diamond alisema walikuwa wakishoot movie inayo itwa temptation.
     Mwandishi wetu alipomuuliza wema pale Airport kuhusu je ni kweli kunamovie inaitwa temptation inakuja Wema alicheka kicheko fulani hivi alafu akasema Muulizeni Naseeb(Diamond) alafu akasema kwangu mimi no Comment.Sasa je inamaanisha kuwa yeye hajui kama ni movie au???
Endelea kutembelea Blog hii.

Family Day Bonanza la Skylight Band ndani ya kiota cha Escape One palikuwa hapatoshi Jumapili hii

IMG_0339
Nguvu kazi ya Skylight Band ikiongozwa na Sam Mapenzi kutoa burudani kwa mashabiki wa Band hiyo ndani ya kiota cha Escape One kwenye Family Day Bonanza kila siku ya Jumapili kuanzia Saa 10 jioni kwenye hewa safi na upepo mwanana wa Baharini.
IMG_0334
Superstar Mboni Masimba na rafiki yake nao walikuwepo kwenye kiota cha Escape One kupata burudani ya Skylight Band.
IMG_0326
Mdogo mdogo wadau walianza kujisogeza pande zile.
IMG_0323
Eneo kubwa la kujinafasi kwenye kiota cha Escape One ukiamua kukaa gorofani haya wewe tu na chaguo lako.

OMMY DIMPOZ APAA LEO KUELEKEA TANZANIA NDANI YA BUSINESS CLASS YA EMIRATE !


OMMY DIMPOZ AKIWA NDANI YA EMIRATE BUSINESS CLASS AKIELEKEA TANZANIA
Mwanamuziki wa Bongo Flava aliyemaliza Tour yake ya kwanza nchini marekani Ommy Dimpoz ameondoka leo kuelekea Tanzania ambapo ana show inamsubiri kesho usiku
Dimpoz akiwa Na USA Tour Manager wake "DMK" wakiwa Airport huku akiwa amepozi na Kofia yake ya POZ KWA POZ "PKP" Kofia hizo zinapatikana kwa special orders only.
Kushoto ni Promoter na Tour Manager "DMK" Pamoja na (kulia)Mwanamuziki Mtanzania aishie Marekani "AJ UBAO" Wakiwa Airport Walipo Msindikiza Ommy Dimpoz(katikati)
Ommy Dimpoz amewashukuru Tanzania Wote kwa kumsupport na pia Kuwaambia miji ile ambayo hakupata nafasi ya kuitembelea kuwa wakae mkao wa kula kwani atarudi kwa part two mwezi december, Tour Yake hiyo Part two itakuwa katika miji ya New York, Dallas, Oakland Chicago na Boston, Pia aliwashukuru Mapromota wake kwa kumkatia Business Class ili aweze kupumzika vizuri akiwa safarini kwani ana Show Dar es salaam mara tu baada ya kutua anaenda moja kwa moja kwenye Show..BONGO FLAVA IKO JUU!

KIJIWE CHA UGHAIBUNI BY VIJIMAMBO!