IRENE UWOYA SHOWING OFF HER NEW TATTOO....IMEBAMBA!!
 Irene Uwoya.

Muigizaji wa Bongo Movie ametanda headline kutokana  picha alizopost zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwai kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni nyayo za mwanae Krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani.
Hii hapa ndiyo mpya kwa mashabiki wake ambayo ameiweka wazi leo.
uwoya
uwoya2                           
Haya..je Tattoo itakayofuata itakuwa wapi?????........Yetu macho

KELLY ROWLAND IS ENGAGED TO HER MANAGER !

                                  

KIJIWE CHA UGHAIBUNI