SWAHILI TV EXCLUSIVE INTERVIEW WITH ARMY NANDO MSHIRIKI TOKA TANZANIA ALIYESHIRIKI BBA "THE CHASE" SEASON 8

Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na  Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California, aliyeshiriki   Big Brother Africa season 8 "The Chase" na hatimaye kutolewa .  Katika video hii Nando amefunguka kuhusu kilichomfanya atolewe mjengoni, maisha ya mle ndani na pia ameweka bayana mipango yake ya baadaye, nini kinachofuata baada ya BBA.