Kigugumizi kwenye kesi za madawa kinatokana na wasiwasi-Msabaha.

Tatizo la ulanguzi wa mihadarati na madawa ya kulevya limeonekana kuongezeka ncjhini Tanzania na kwenye kipindi cha Live Talk cha VOA wamezungumzia tatizo hilo na kufanya mahojiano na waziri Mwakyembe ambaye pia alikanusha taarifa za vyombo vya habari kuwa atatoa orodha ya vigogo wanohusika na biashara hiyo nchini Tanzania. Walioshiriki ni mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya nchini Tanzania Godfrey Nzowa , mbunge wa Chadema (viti maalum) mjini magharibi Mariam Msabaha na Meneja wa Trent Recovery nyumba ya kusaidia watu wanaotumia madawa Zanzibar na mtumiaji wa zamani. Abdu Rahman Abdallah. Kusikiliza mahojiano mjadala huo bofya hapa. Kusikiliza mahojiano mjadala huo bofya hapa. http://www.voaswahili.com/content/article/1731337.html