PICNIC YA WATANZANIA DMV YAFANAAAAAAAAAAAAAAAA

Wana DC Maryland na Virginia wajitokeza kwa wingi katika Picnic Day na Nyama Choma iliyoandaliwa na Jumuiya yao.
Watanzania wakifurahia kukutana pamoja na kupata picha za kumbukumbu

          Kila mtu alikuwa na hamu ya kuongea machache na mwenzake aliyekuwa karibu naye

Wadau wakifurahia matunda ya Umoja wao hapa DMV, Sherehe hii iliandama na Nyama za kila aina, vinywaji na maongezi yaliyojawa na amani na upendo.