USIKU WA DAR-NA ZANZIBAR AT NEW MAISHA CLUB !!


 Kwa steji ni Sultani KING kutoka Zanzibar, huu ulikuwa usiku wa ZNZ na Dar ambapo walishushwa wasanii wakubwa nikimaanisha kiumri yaani ma bibi zetu mmoja kutoka Zanzibar namzungumzia Bibi Kidude na kutoka Dar alikuwa Bibi Cheka, walisindikizwa na wasanii wadogo na show ilikuwa hot...endelea kutizama picha

 Kwa steji ni Mabeste

 kwa steji Bi Kidude akiingia tayari kwa show Bibi Cheka kwa steji na Mh Temba


 Makomandoo kwa steji


 Cyrill na Wakacha kwa steji

 Nyandu tozi kwa steji

 Young D


PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA