TONI BRAXTON...SEXY BEHIND ALL OUT DURING NEW JERSEY SHOW !!

Toni's behind was all open and she didn't stop during the performance....watch the video from TMZ!
PICNIC YA WATANZANIA DMV YAFANAAAAAAAAAAAAAAAA
Wana DC Maryland na Virginia wajitokeza kwa wingi katika Picnic Day na Nyama Choma iliyoandaliwa na Jumuiya yao.
Watanzania wakifurahia kukutana pamoja na kupata picha za kumbukumbu
Wadau wakifurahia matunda ya Umoja wao hapa DMV, Sherehe hii iliandama na Nyama za kila aina, vinywaji na maongezi yaliyojawa na amani na upendo.
SWAHILI TV EXCLUSIVE INTERVIEW WITH ARMY NANDO MSHIRIKI TOKA TANZANIA ALIYESHIRIKI BBA "THE CHASE" SEASON 8
Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California, aliyeshiriki Big Brother Africa season 8 "The Chase" na hatimaye kutolewa . Katika video hii Nando amefunguka kuhusu kilichomfanya atolewe mjengoni, maisha ya mle ndani na pia ameweka bayana mipango yake ya baadaye, nini kinachofuata baada ya BBA.
Kigugumizi kwenye kesi za madawa kinatokana na wasiwasi-Msabaha.
Tatizo la ulanguzi wa mihadarati na madawa ya kulevya limeonekana kuongezeka ncjhini Tanzania na kwenye kipindi cha Live Talk cha VOA wamezungumzia tatizo hilo na kufanya mahojiano na waziri Mwakyembe ambaye pia alikanusha taarifa za vyombo vya habari kuwa atatoa orodha ya vigogo wanohusika na biashara hiyo nchini Tanzania.
Walioshiriki ni mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya nchini Tanzania Godfrey Nzowa , mbunge wa Chadema (viti maalum) mjini magharibi Mariam Msabaha na Meneja wa Trent Recovery nyumba ya kusaidia watu wanaotumia madawa Zanzibar na mtumiaji wa zamani. Abdu Rahman Abdallah. Kusikiliza mahojiano mjadala huo bofya hapa.
Kusikiliza mahojiano mjadala huo bofya hapa.
http://www.voaswahili.com/content/article/1731337.html
Soulja Boy Kicked Off Plane for Not Taking His Seat
Atlanta rapper Soulja Boy was kicked off an American Airlines flight for not taking his seat, according to TMZ. The website posted a short video of the "Zan Wit That Lean" rapper taking his bags out of the overhead luggage compartment while two officers stood behind him.
According to several reports, the flight attendant came on the intercom and asked everyone to take their seats, but Soulja Boy allegedly kept walking up and down the aisles. The attendant then approached the rapper and asked him to take his seat, or he would be escorted from the plane.
When he didn't take his seat, officers boarded the flight and escorted him away, which Soulja told TMZ was all a big misunderstanding.
"It was a bad night and me and the flight staff didn't see eye to eye. In hindsight, I'm extremely sorry for all inconvenience caused to the passengers and employees of the airline."

Leo asubuhi Rapper Joulja Boy alitimuliwa kutoka ndani ya ndege na kushushwa chini na Air Marshal baada ya kutokutii kauli ya wahudumu wa ndege iliyowataka watu wote kukaa chini nakufunga mikanda ili ndege ianze safari.
Rapper huyo aliendelea kusimama bila kutii wakati ndege inataka kuanza safari na muhudumu (hostess) alimfata nakumuomba kwa upole akae chini nakufunga mkanda lakini yeye hakutii ndipo walipoitwa Aior Marshal kufanya kazi yao nakumtoa nje kama mwizi bila kujali yeye ni nani.Marekani usipoti sheria haijalishi wewe Rapper au Mfalme.

SOULJA BOY AKITOLEWA NJE BILA UJANJA
Ila baadae kwenye Twitter yake Soulja Boy aliomba msamaha kwa yaliyotokea lakini waingereza wanasema the Damage has been done.....too little too late.
SWAHILI RADIO KUANZA KURUSHA MATANGAZO HEWANI HIVI KARIBUNI KUTOKEA JIJINI WASHINGTON D.C. USA
Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati wa majaribio
Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribio
Bwana DMK akiendelea na majaribio ya kipindi chake cha Entertainment
Alex Kassuwi akiweka mitambo sawa wakati wa majaribio
DMK akikamilisha taratibu za mwisho mwisho kuingia hewani
Alex akifurahia baada ya mitambo kuonyesha mafanikio katika majaribio
Wakurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex na DMK wakiendesha kipindi cha majaribio hewani
SWAHILI RADIO
Ni Radio iliyoanzishwa Jijini Washington DC USA na Kampuni ya "MMK MEDIA GROUP LLC " ambao wanamiliki Swahili Radio On Line,Swahili TV on Line,Swahilitv Blog, Swahili Magazine USA-AFRICA,na The Bridge Show ndani ya DCTV.
Radio hii pamoja na TV ziko kwenye majaribio kwa sasa na zitaanza kuwa hewani kwa watu wote kusikiliza na kuangalia punde muda wa majaribio utakapo malizika.Watanzania hao watatu wote kwa pamoja wanayofuraha kubwa kwa jinsi ambavyo majaribio ya kazi hizi yanavyoendelea na kwa kingereza wanasema THEY CAN'T WAIT TO BRING TO YOU WHAT YOU HAVE BEEN WAITING FOR.
"PROGRAMS ZA RADIO KWA KUANZIA"
*KIPINDI CHA BURUDANI NA MICHEZO DUNIANI*
*MAPENZI NA MAISHA*
*MAISHA UGHAIBUNI*
*HABARI ZA DUNIA*
*THE WEEKEND SPECIAL*
KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM

DIAMOND NA DIMPOZ KUTOFUNGUA FIESTA 2013 KIGOMA JUMAMOSI HII TAREHE 17 !
Jumamosi hii tarehe 17 Fiesta itafunguliwa Kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma Mjini na wasanii watakaokuwepo kwenye shoo hiyo ya ufunguzi ni hawa wafuatao ingawa majina mengi Makubwa hayatakuwepo kwenye ufunguzi huo.

BARNABA A.K.A BABA STEVE

RECHO - A.K.A. KIZUNGUZUNGU

SHETTA MZEE WA NIDANGANYE DANGANYE DANGANYE
NAY WA MITEGO....MZEE WA SALAM ZAO

TID-MWAKA HUU YUMO JE KUNANI???

AMINI MWINYIMKUU-KUTOKA THT

SHILOLE A.K.A MAUNO
WENGINE NI- MWANA FA,AY,CHEGE,TEMBA,LINEX,JOHN MAKINI,STAMINA,MADEE,PETER MSECHU,WEUSI(NICKI MBISHI NA G NAKO), GODZILLA,BABA LEVO,MAKOMANDO
Jambo la kushangaza ni kwamba Majina makubwa ambayo yanatokea kigoma hayamo kwenye ufunguzi huu kitu ambacho kimeachagumzo kwa watu wengi.
Mwandishi wetu wa burudani Bwana DMK aliwapigia simu wasanii hao wakubwa Tanzania ambao hawajatajwa kwenye ufunguzi DIAMOND NA OMMY DIMPOZ ambao wanatokea Kigoma na ingekuwa vizuri wangekuwepo kwenye ufunguzi huo.Wasanii hao walisema kuwa wangependa kuwepo Kigoma lakini kutokana na utata wa Ratiba kwani siku hiyi hiyo watakuwa kwenye shoo ya KILIMANJARO MUSIC AWARD TOUR Jijini Mwanza wakiendelea na Tour hiyo ambayo ilisimama kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani na sasa inaendelea.
Tuliwapigia simu Clouds FM kutaka kujua kuwa kwanini wameamua kupanga Ratiba inayogongana na KILIMANJARO kwani huko nikuwanyima washabiki wa Kigoma nafasi ya kuwaona Wanamuziki hao watoto wa nyumbani,Mwakilishi huyo wa Clouds(Jina tunalihifadhi)alisema None of their Business.
Na Mwandishi wetu DMK411.

Subscribe to:
Posts (Atom)