Baada ya taarifa kuzushwa kuwa Saida Karoli amefariki katika ajali ya meli habari za uhakika ni kuwa Saida Karoli wala hayuko mahala popote jirani na Ziwa Victoria. Baada ya kuweko Dar es Salaam wiki iliyopita, Saida na kundi lake walikodishwa na kuelekea Makongorosi Chunya mahala aliko mpaka asubuhi hii. Saida Karoli anasema hana mpango wowote wa kufa KARIBUNI.
MUNGU AMUONGEZEE SIKU NYINGI ZENYE FARAJA KATIKA MAISHA YAKE
Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini, Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wanapanga kusheherekea miaka 3 ya Vijimambo na kukuletea tamasha ni kuendeleza lugha na utamaduni wa Kiswahili hapa Marekani ili watoto wanaoishi huku waweze kuendeleza matumizi ya lugha hii na utamaduni wake kizazi hadi kizazi.
Siku ya July 6, 2013 hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo
207 w Hampton Pl,
Capitol Height, MD
Mambo mengi yatakuwepo, Vikundi mbalimbali vya utamaduni, wanamitindo ya mavazi mbalimbali kuwakilisha, vyakula vya Kitanzania, Wasanii kutoka nyumbani Shilole na Masanja wakishirikiana na hapa Marekani yote ni kudumisha utamaduni wetu wa kiswahili
HOTEL KWA AJILI YA WAGENI
Tumeongeza vyumba 35 Hotel ya Country Inn & Suites
Na unapopiga simu uliza SWAHILI CULTURE IN USA kusudi upate unafuu wa bei nambari ya simu ni 301 350 8088 na Addrees ni
8850 Hampton Malls Drive North
Capitol Heights, MD 20843
Hotel za jirani na hapa ni Hampton Inn 9421 Largo Dr West, Largo, MD 20774 simu ni 301 499 4600 Extended Stay American 9401 Largo Drive West, Largo, MD 20774 simu ni 301 3339139
kwa wajasiriamali ambao wangependa kudhamini na kuijipatia meza ya kutangaza bidhaa au shughuli wazifanyazo tafadhali wasiliana 301 613 5165, 301 661 6696 na 301 792 8562mwisho ni June 15, 2013 Asante
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Mengisen Kileo, leo jioni amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar baada ya kuugua malaria na kisha kujitokeza homa ya uti wa mgongo. Akizungumza na matandao wa GLOBAL PUBLISHER, baba mzazi wa Langa, Mzee Mengesen Kileo, amesema alimpeleka mwanaye Hospitali ya Kinondoni maarufu ‘Kwa Dokta Mvungi’ ambapo aligundulika kuwa na malaria na baadaye aligundulika kuwa na homa ya uti wa mgongo. Mzee Mengisen aliongeza kuwa, baada ya Dokta Mvungi kugundua kuwa Langa ana homa ya uti wa mgongo ambayo ni hatari, leo asubuhi aliamua kumkimbiza hospitali ya Muhimbili na kumfikishia chumba cha wagonjwa mahututi ‘ICU’. Baba huyo wa marehemu alizidi kuueleza mtandao huu kuwa, ilipofika mida ya saa kumi jioni, mwanaye aliaga dunia. Mipango ya mazishi inaendelea kupangwa nyumbani kwao marehemu Mtaa wa Chato, Mikochocheni jijini Dar.
A fresh prince. Alien-destroying fighter jet pilot. Homeless superhero. Ghostly golf caddy. Needless to say Will Smith has played many parts in his diverse career, but his recent role as World’s Most Embarrassing Dad is definitely his most believable.
There’s even video to prove it.
While promoting his new sci-fi film After Earth in Thailand with his part-time co-star, full-time son Jaden Smith, Will carries out his fatherly duties of embarrassing the hell out of his kid. Because, really, what’s the point of having a dad if he doesn’t make you want to avoid every single person at school the next day?
The reporter asks the duo if their off-screen relationship is anything like the estranged dynamic portrayed in the film.
The two both turn to each other with Jaden answering, “Nah,” and Will agreeing, “No, we’re very affectionate.” He then proceeds to push Jaden’s buttons by cozying up to him, announcing “I can kiss my son!,” and then forcing a kiss on Jaden mid-interview. Jaden freaks, we laugh.
While Jaden searches his dad’s room for that prop from Men In Black that erases people’s memories, you can watch the father-son exchange here:
Beyonce And Jay-Z At Kanye West "Yeezus" Listening Party "West Was My Slave Name, Yeezuz Is My God Name" -- The power couple comes out for Kanye's star-studded "Yeezus" album listening party! -- Beyonce And Jay-Z At Kanye West "Yeezus" Listening Party "West Was My Slave.