FINALLY "RIHANA " AANZASHA KAMPUNI YAKE YA UREMBO -INAITWA FR8ME

NA  Hollywood Reporter- Rihanna ameanzisha kampuni ya Urembo inayotambulika kama Fr8me akishirikiana na meneja maarufu wa watu wenye vipaji Marekani Benoit Demouy, huku hadi sasa wakiwa wamekwisha wasaini baadhi ya wasanii kwenye kampuni hiyo.
Wasanii ambao wamekwisha sainiwa ni pamoja na Taraji P. Hensen, Jason Bolden, Patricia Morales, Evan Rachel Wood na Fergie.“Tuna bahati kubwa kupata wasanii bora katika kampuni hii,’ alisema Rihanna