MWANA MUZIKI MAARUFU MARIAH CAREY AHAMIA KWA MCHUMBA BILLIONEA


Baada ya Kuachana na mumewe NIck Canon  Mariah Carey ameamua kuhamia moja kwa moja kwa mchumba wake mpya ambaye ni bilionea kutoka nchini Australia, James Packer.Habari tulizopata zinasema Carey alihamia mara baada tu ya sikukuu ya Halloween.Kwasasa inasemekana anafuraha kupita alivyokuwa na Nick !