JE NI KWELI OMMY DIMPOZ ANAMDATE MWANAMUZIKI MREMBO KUTOKA KENYA "AVRIL"?


Mwanamuziki mrembo wa nchini Kenya, Avril Nyambura anatarajiwa kuizindua single yake mpya aliyomshirikisha hitmaker wa ‘Me and You’ Ommy Dimpoz, siku ya mkesha wa kuamkia Mei Mosi. Uzinduzi huo utafanyika Club Elements jijini Dar es Salaam ambapo kutakuwepo na performance Kutoka kwa ma star wengine wengi wa africa mashariki...Ingawa Ommy hatakuwepo kwani yuko ziarani Ulaya...ametweet akisema baby ntunzie tunda langu....Je Avril na Ommy ni " I TEM ?