LADY JAY D..AFUNGUKA...ASEMA MUNGU SIO RUGE WALA KUSAGA !!!!!!!!!!BONGO NDO HIYOOOOOOOOOOOOO

Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt yafuatyao. 

Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!