KAMPUNI YA DMK GLOBAL YATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA AJALI YA MELI ZANZIBAR !!ON BEHALF OF DMK GLOBAL PROMOTIONS AND COMPANIES & DMK411.BLOGSPOT.COM ,TUNAPENDA  KUUNGANA NA WATANZANIA WOTE KUOMBOLEZA VIFO VYA NDUGU ZETU VILIVYO TOKEA KATIKA AJALI YA MELI VISIWANI ZANZIBAR,TUNAWAOMBEA MAJERUHI WAPONE HARAKA NA MUNGU AWAZIDISHIE NGUVU NA FARAJA WANAFAMILIA WALIOPOTEZA NDUGU ZAO !!