WEMA SEPETU AWASILI DAR AKITOKEA HONG KONG


 Wema Sepetu amewasili Tanzania jana akitokea Hong Kong ambako alikuwa mapumzikoni kwa muda mrefu .Akiwa Hong Kong Wema alikutana na Diamond nakukumbushia penzi lao ingawa Diamond alisema walikuwa wakishoot movie inayo itwa temptation.
     Mwandishi wetu alipomuuliza wema pale Airport kuhusu je ni kweli kunamovie inaitwa temptation inakuja Wema alicheka kicheko fulani hivi alafu akasema Muulizeni Naseeb(Diamond) alafu akasema kwangu mimi no Comment.Sasa je inamaanisha kuwa yeye hajui kama ni movie au???
Endelea kutembelea Blog hii.